Infrastructure tools to support an effective radiation oncology learning health system
Mandhari
Jiji la Manila | |
Nchi | Ufilipino |
---|---|
Tovuti: www.manila.gov.ph |
Manila ni mji mkuu wa Ufilipino kwenye kisiwa cha Luzon kando la Hori ya Manila. Pamoja na miji 16 mingine ni sehemu ya mkoa wa jiji la Metro Manila. Mji una wakazi milioni 1.6 na rundiko la mji wote takriban milioni 15.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Manila kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa . |