Infrastructure tools to support an effective radiation oncology learning health system
Yaliyomo
Mandhari
Kiwajarri ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawajarri katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiwajarri 89 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwajarri kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
- lugha ya Kiwajarri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwajarri
- lugha ya Kiwajarri katika Glottolog
- lugha ya Kiwajarri katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwajarri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |