Informatics Educational Institutions & Programs
Mandhari
Umri ni hesabu ya miaka iliyopita tangu kiumbehai alipoanza kuwepo. Kwa binadamu ni kawaida kuihesabu tangu azaliwe, si tangu atungwe mimba.
Ukuaji (halafu uzeekaji) wa kiumbehai unaendelea moja kwa moja, lakini wataalamu wanatofautisha hatua muhimu kama vile: utoto, ubalehe, ujana, utu uzima, uzee, ukongwe.
Kila hatua ina sifa zake na matatizo yake maalumu.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Umri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa . |