Informatics Educational Institutions & Programs
Yaliyomo
Mississippi | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Jackson | ||
Eneo | |||
- Jumla | 125,434 km² | ||
- Kavu | 121,488 km² | ||
- Maji | 3,945 km² | ||
Tovuti: http://www.mississippi.gov/ |
Mississippi ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mukubwa ni Jackson. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 2,938,618 (2008) wanaokalia eneo la 125,443 km² ambalo ni hasa milima na jangwa. Imepakana na Tennessee, Alabama, Louisiana na Arkansas. Upande wa kusini imepakana na maji ya Ghuba ya Meksiko, magharibi mwa mto Mississippi.
Viungo vya Nje
Tovuti Rasmi ya Jimbo la Alabama
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mississippi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa . |