FAIR and interactive data graphics from a scientific knowledge graph
Yaliyomo
North Dakota | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Bismarck | ||
Eneo | |||
- Jumla | 183,112 km² | ||
- Kavu | 178,647 km² | ||
- Maji | 4,465 km² | ||
Tovuti: http://www.nd.gov/ |
North Dakota (Dakota Kaskazini) ni jimbo la Marekani upande wa kaskazini kati ya nchi.
Imepakana na Kanada (Saskatchewan na Manitoba), Minnesota, South Dakota (Dakota Kusini) na Montana.
Jimbo lina wakazi wapatao 641,481 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 183,272.
Mji mkuu ni Bismarck na mji mkubwa ni Fargo.
Lugha rasmi ni Kiingereza.
Viungo vya Nje
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu North Dakota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa . |