FAIR and interactive data graphics from a scientific knowledge graph

Mfano wa herufichini na herufijuu.

Herufichini na herufijuu (kwa Kiingereza: subscript and superscript) ni herufi (namba au herufi za alfabeti) zinazowekwa chini au juu ya mstari wa kawaida.

Marejeo

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).