FAIR and interactive data graphics from a scientific knowledge graph
Mandhari
Christian Lous Lange (17 Septemba 1869 – 11 Desemba 1938) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Hasa alijitahidi kupatanisha vyama mbalimbali vya siasa. Mwaka wa 1921, pamoja na Hjalmar Branting alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.