FAIR and interactive data graphics from a scientific knowledge graph
Yaliyomo
Mandhari
Tarehe 22 Novemba ni siku ya 326 ya mwaka (ya 327 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 39.
Matukio
- 1497 - Vasco da Gama anapita ncha ya Kusini ya Afrika katika safari yake ya baharini kutoka Ureno kwenda Uhindi
Waliozaliwa
- 1868 - John Garner, Kaimu Rais wa Marekani
- 1869 - Andre Gide, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1947
- 1904 - Louis Neel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970
- 1917 - Andrew Huxley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 1980 - Carla Campbell, mwanamitindo kutoka Jamaika
- 1982 - Yakubu Aiyegbeni, mwanasoka wa kimataifa kutoka Nigeria
Waliofariki
- 1875 - Henry Wilson, Kaimu Rais wa Marekani (1873-1875)
- 1963 - John F. Kennedy, Rais wa Marekani aliuawa
- 1981 - Hans Krebs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sesilia, Filemoni na Afia, Anania wa Arbela, Beninyo wa Milano, Pragmasi wa Autun, Petro Esqueda n.k.