Design of generalized search interfaces for health informatics
Mandhari
![]() | |
Tarehe ya kuzaliwa | 11 Novemba 1956 |
Kazi | Mwanasiasa |
Mengine | ambaye alikuwa Rais wa Zambia tangu Januari 2015 |
Edgar Chagwa Lungu (amezaliwa 11 Novemba 1956) ni mwanasiasa wa Zambia ambaye alikuwa Rais wa Zambia tangu Januari 2015. Alishindwa katika uchaguzi wa urais wa 2021 na mpinzani wa muda mrefu Hakainde Hichilema.