Wikiversity
Mandhari
Bernardo Alberto Houssay (10 Aprili 1887 – 21 Septemba 1971) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Argentina. Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza uhusiano kati ya homoni na sukari katika kiumbehai cha wanyama. Mwaka wa 1947, pamoja na Carl na Gerty Cori alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.