IHE Wiki
Yaliyomo
Mandhari
Ursula Mtakatifu (alifariki Koln, Ujerumani, 383) alikuwa mwanamke wa Ukristo wa Kiselti anayeheshimiwa na Wakatoliki na Waanglikana kama mtakatifu bikira mfiadini, ingawa habari zake[1] hazina hakika sana, kiasi kwamba kifo chake kinatajwa kutokea miaka tofauti: 238, 283, 383, 451 na hata 640[2].
Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe 21 Oktoba[3].
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
- ↑ Poncelet, Albert. "St. Ursula and the Eleven Thousand Virgins". The Catholic Encyclopedia. Vol. 15. New York: Robert Appleton Company, 1912. Accessed 28 June 2013.
- ↑ Because of the lack of definite information about her and the anonymous group of holy virgins who accompanied her and on some uncertain date were killed at Cologne, they were removed from the General Roman Calendar when it was revised in 1969. See: Calendarium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 1969), p. 143
- ↑ "Roman Martyrology (Martyrologium Romanum): The Complete Martyrology in English for Daily Reflection". The Boston Catholic Journal. 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-25. Iliwekwa mnamo Novemba 23, 2016.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- (Kiitalia) Sant' Orsola e compagne
- Colonnade Statue St Peter's Square
- Saint Ursula and the 11,000 British Virgins