Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
“If I Let You Go” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Westlife kutoka katika albamu ya Westlife | |||||
Imetolewa | 9 Agosti 1999 26 Septemba 1999 | ||||
Muundo | CD Single | ||||
Aina | Pop | ||||
Studio | Sony BMG, RCA | ||||
Mtunzi | Jörgen Elofsson, David Kreuger, Per Magnusson | ||||
Mtayarishaji | David Kreuger, Per Magnusson | ||||
Certification | Silver | ||||
Mwenendo wa single za Westlife | |||||
|
"If I Let You Go" Ni wimbo kutoka kwa Westlife, Ulitoka nchini Uingereza tarehe 9 Agosti 1999, kama kibao cha pekee, maarufu kama 'singo'. Wimbo huo ndio ulikuwa wimbo wa kumi na nne kati ya nyimbo pekee za Westlife kuwahi kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza.
Wimbo huu, ulichezwa moja kwa moja katika mashindano ya urembo ya dunia mwaka 1999.
Wimbo huu uliweza kuuza zaidi ya nakala 200,000 kwa upande wa Uingereza peke yake.
Nchi/Chati | Ilipata Nafasi |
---|---|
Australian Singles Chart | 13 |
Belgian Singles Chart | 7 |
Irish Singles Chart | 1 |
Netherlands Singles Chart | 19 |
New Zealand Singles Chart | 8 |
Norwegian Singles Chart | 1 |
Swedish Singles Chart | 6 |
Swiss Singles Chart | 25 |
UK Singles Chart | 1 |
UK Radio Airplay Chart | 7 |
Nchi | Ilipata Nafasi |
---|---|
Australia | 95 |
Mapato ya nyimbo
|
Kuteneza CD
|
Alitanguliwa na "When You Say Nothing at All" by Ronan Keating |
UK Singles Chart number one single 8 Agosti 1999 - 15 Agosti 1999 |
Akafuatiwa na "Mi Chico Latino" by Geri Halliwell |