Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
Jiji la Guangzhou | |||
| |||
Nchi | China | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Guangdong | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 7,607,200 | ||
Tovuti: www.gz.gov.cn |
Guangzhou (pia: Canton, kwa Kichina: 广州) ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Guangdong.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, kuna wakazi wapatao milioni 9.8 wanaoishi katika mji huu.
Mji uko mita 11 juu ya usawa wa bahari.
Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Guangzhou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa . |