Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
'
David Hubel | |
---|---|
David Hubel | |
Amezaliwa | 27 Februari 1926 |
Amefariki | 22 Desemba 2013. |
Kazi yake | daktari kutoka nchi ya Kanada |
Maandishi ya italiki
David Hunter Hubel (amezaliwa 27 Februari 1926) alikuwa daktari kutoka nchi ya Kanada. Baadaye alihamia na kufanya kazi nchini Marekani. Hasa alichunguza jinsi habari za macho zinazofikishwa ubongoni. Mwaka wa 1981, pamoja na Roger Sperry na Torsten Wiesel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
David Hubel alishiriki katika ugunduzi muhimu pamoja na mwenzake Torsten Wiesel, ambao ulileta mchango mkubwa kwa uelewa wetu wa jinsi ubongo unavyoprocess na kuelewa taarifa kutoka kwenye macho. Walianza kufanya kazi pamoja katika miaka ya 1950 na 1960, na matokeo ya utafiti wao ulileta mabadiliko chanya katika fahamu mfumo wa visual perception.
David Hubel aliendelea kufundisha na kufanya utafiti hadi kustaafu na alikuwa na ugonwa mkubwa katika mwiliwake wa neuroscience. Alifariki dunia mnamo 2013 akiwa na umri wa miaka 87. Mchango wake kwa uelewa wa jinsi ubongo unavyofanya kazi bado unatambuliwa na kuendelea kuwa msingi wa utafiti wa nevrologia na neuroscience.