Effects of the storage conditions on the stability of natural and synthetic cannabis in biological matrices for forensic toxicology analysis: An update from the literature
Yaliyomo
Africa Independent ni televisheni ya setilaiti nchini Nigeria, na ulitokana na Da'ar Communications plc, inapatikana kote Afrika, na kupitia mtandao wa setilaiti sahani huko Amerika-Kaskazini. Katika Ufalme wa Uingereza inapatikana katika Sky TV kanal 187. Baadhi ya programu yake pia inapatikana katika Ufalme wa Uingereza kupitia [| BEN Television].
Kuna kanal iliyoongezeka iitwayo AIT Movistar, ambayo hutangazwa katika Sky TV kanal 330.
Viungo vya nje
- Tovuti Rasmi
- AIT USA Archived 31 Machi 2009 at the Wayback Machine.
- Controversy Over Age, Cost of Presidential Jet by Rotimi Durojaiye - makala ambayo ilisababisha Durojaiye kukamatwa pamoja na Aruleba